Swali 108: Je, inafaa kumswalia maiti zile faradhi ambazo hakuziswali[1]?
Jibu: Haijuzu kumswalia maiti. Isitoshe halina msingi. Hayo yamepokelewa kuhusu funga, hajj, kulipa deni, kumtolea swadaqah na kumwombea du´aa. Kuhusu kumswalia ni jambo halina msingi wowote.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/280-281).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 78
- Imechapishwa: 09/01/2022