5-

اللهم إني ظَلَمْتُ نَفْسي ظُلْماً كَثِيراً و لا يَغْفِرُ الذُنوبَ إلا أنْتَ فَاغْفِرْ لي مَغْفِرَةً مِنْ عِنْدِكَ و ارْحَمْني إنَّكَ أنْتَ الغَفورُ الرَحِيمُ

“Ee Allaah! Hakika mimi nimeidhulumu nafsi yangu dhuluma nyingi. Hakuna mwingine anayesamehe madhambi isipokuwe Wewe. Hivyo basi, nisamehe msamaha kutoka Kwako na Unirehemu. Kwani hakika Wewe ni Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu.”[1]

[1] al-Bukhaariy na Muslim.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 161
  • Imechapishwa: 10/01/2019