102. Du´aa ya kuingia makaburi kwenye mlango wa makaburi

Swali 102: Ni ipi hukumu ya kuandika du´aa ya kuingia makaburini kwenye mlango wa makaburi[1]?

Jibu: Sitambui msingi juu ya hilo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kuandika juu ya kaburi. Kuna khatari kuandika juu ya ukuta wa makaburi ikawa ni njia inayopelekea kuandika juu ya makaburi.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/244).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 71¬-72
  • Imechapishwa: 08/01/2022