10. Nifunge ikiwa nasafari masaa nane?


Swali 10: Allaah anapenda zichukuliwe ruhusa Zake kama anavyolipa kwa kuasiwa. Je, nifunge au nisifunge nikisafiri masaa nane kutoka Jazaan mpaka Makkah?

Jibu: Una khiyari katika hilo.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 25
  • Imechapishwa: 12/06/2017