10. Maandamano na maonyesho ya Raafidhwah Makkah ni mfano wa ugaidi


9- Kwa hiyo maandamano haya ya kelele, maonyesho ya kimadhambi na mambo ya kitoto ya kijinga ambayo kila mwaka wakati wa hajj yanapangwa na Raafidhwah tangu wakati wa mapinduzi ya kiirani ya Khomeini ni mfano wa ugaidi ambao ni wajibu kwa wale waislamu wenye uwezo kuyapiga vita, kuyasambaratisha na kupambana nayo bila ya huruma. Lau wafisadi hawa na jinai na ugaidi wao hawakuchukuliwa hatua mara moja, wataeneza ufisadi zaidi juu ya ardhi. Baada ya hapo fitina ya ufisadi na mabalaa yataienea miji na watu.

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Irhaab, uk. 18
  • Imechapishwa: 03/04/2017