10. Hadiyth “Ibn ´Umar alikuwa anauendea mti kati ya Makkah na Madiynah… “

47- Imepokelewa kwamba:

“Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) alikuwa anauendea mti kati ya Makkah na Madiynah ambapo analala chini yake usingizi wa mchana, na akieleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anafanya hivo.”[1]

Ameipokea al-Bazzaar kwa cheni ya wapokezi isiyokuwa na neno.

[1] Nzuri.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/127)
  • Imechapishwa: 26/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy