10. Dalili ya tisa kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

9- Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:

“Nilimwona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema juu ya mimbari: “Itapokuwa siku ya Qiyaamah basi Allaah (´Azza wa Jall) atazikamata mbingu na ardhi zote kwenye mkamato Wake kisha aseme: “Mimi ni Allaah!”[1]

[1] Muslim (2149) na Ibn ´Arafah katika ”al-Juz’” (9).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 19
  • Imechapishwa: 18/06/2019