10. Dalili juu ya mguu wa Allaah 10

10- Muhammad bin Makhlad na Abu Twaalib al-Haafidhw Ahmad bin Naswr ametuhadithia: Muhammad bin Ghaalib bin Harb ametuhadithia: ´Abdur-Rahmaan bin Salaam al-Qurashiy ametuhadithia: Hammaad bin Salamah ametuhadithia, kutoka kwa Yuunus bin ´Ubayd, kutoka kwa Muhammad bin Siyriyn, kutoka kwa Abu Hurayrah ambaye amesimulia ya kwamba amemsikia Mtume wa Allaah

”Watu wa Motoni watatupwa ndani yake na utasema:

هَلْ مِن مَّزِيدٍ

“Hakuna zaidi?”[1]

[1] 50:30

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 44-45
  • Imechapishwa: 22/10/2017