09. Dalili ya nane kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

8- Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Allaah atazikamata mbingu na ardhi Zake kwa mikono Yake na aseme: “Mimi ni Allaah!” na atakunja vidole Vyake na atavikunjua na kusema: “Mimi ndiye Mfalme, Mimi ni Mwingi wa rehema!”[1]

Hadiyth ni Swahiyh.

[1] Muslim (2149) na Ibn Maajah (198).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 18
  • Imechapishwa: 17/06/2019