4- Kuvuta kwa kunusa harufu ya ubani hali ya kujua na kukusudia. Jambo hili linamfunguza yule mfungaji. Haya ndio maoni ya Fuqahaa´ wengi. Kwa sababu ni kitu kilicho na ushawishi juu ya ubongo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtaswaru fiy Ahkaam-is-Swiyaam, uk. 14
  • Imechapishwa: 17/04/2019