08. Dalili ya saba kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

7- (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Waadilifu watakuwa juu ya manabiri ya nuru kuliani mwa mkono wa Mwingi wa huruma (´Azza wa Jall) na mikono Yake miwili yote ni ya kuume.”

Ameipokea Muslim.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 18
  • Imechapishwa: 17/06/2019