Imani ni kutamka kwa ulimi, kuamini kwa moyo na matendo ya viungo na nguzo. Imani inazidi kwa utiifu na elimu na inapungua kwa maasi na ujinga.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Qawl al-Mufiyd fiy Adillat-it-Tawhiyd
  • Imechapishwa: 05/08/2020