07. Kinga ya saba ya janga la corona: Kuepuka sehemu za maambukizi

7- Kuepuka sehemu za maambukizi

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema kuhusu tauni:

“Mkisikia kuhusu juu yake katika mji fulani, basi msiingie ndani yake. Na kikitokea katika mji fulani na nyinyi mko ndani yake, basi msitoke kwa kukikimbia.”[1]

Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mgonjwa asimwendee mzima.”[2]

[1] al-Bukhaariy (5729) na Muslim (2218).

[2] al-Bukhaariy na Muslim.

  • Mhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Ashru Waswaayaa lil-Wiqaayah min-al-Wabaa’, uk. 11
  • Imechapishwa: 01/04/2020