119- ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) amesema kuhusiana na maneno Yake (Ta´ala):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا قُوا أَنفُسَكُمْ وَأَهْلِيكُمْ نَارًا وَقُودُهَا النَّاسُ وَالْحِجَارَةُ

“Enyi mlioamini! Ziokoeni nafsi zenu na familia zenu na Moto ambao mafuta yake ni watu na mawe.”[1]

“Zifunzeni familia zenu kheri.”[2]

Ameipokea al-Haakim ambaye amesema:

“Ni Swahiyh juu ya sharti za al-Bukhaariy na Muslim.”

[1] 66:6

[2] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/159)
  • Imechapishwa: 03/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy