07. Hadiyth “Yule asiyeelekea Qiblah na wala hakukipa mgongo… “

151- Abu Hurayrah ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule asiyeelekea Qiblah na wala hakukipa mgongo wakati wa kukidhi haja kubwa, basi huandikiwa jema na hufutiwa dhambi moja.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy. Wapokezi wake ni wapokezi wa Swahiyh.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/173)
  • Imechapishwa: 10/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy