744- al-Hasan ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Watibuni wagonjwa wenu kwa swadaqah.”[1]

Ameipokea Abu Daawuud katika “al-Maraasiyl”, at-Twabaraaniy, al-Bayhaqiy na wengineo kupitia kwa kikosi cha Maswahabah kwa cheni ilioungana kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu alayhi wa sallam). Ni yenye kufanana zaidi kusimuliwa kwa kukosekana Swahabah katika cheni ya wapokezi.

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/458)
  • Imechapishwa: 15/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy