730- Ka´b bin Maalik (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Wakome watu wanaosikia wito siku ya ijumaa kisha hawauendei au Allaah atapiga muhuri juu nyoyo zao kisha watakuwa miongoni mwa waghafilikaji.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika ”al-Kabiyr” kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/452)
  • Imechapishwa: 26/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy