103- ´Amr bin Shu´ayb amesimulia kutoka kwa baba yake ambaye naye amesimulia kutoka kwa baba yake kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Si katika sisi yule asiyewahurumia wadogo wetu na akatambua utukufu wa wakubwa wetu.”[1]

Ameipokea at-Tirmidhiy na Abu Daawuud isipokuwa yeye amesema:

“… na akatambua haki ya wakubwa wetu… “

[1] Nzuri na Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/152)
  • Imechapishwa: 02/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy