07. Hadiyth “Ni baraka aliyokupeni Allaah… “

1069- ´Abdullaah bin al-Haarith amesimulia kutoka kwa mtu mmoja katika Maswahabah wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:

“Niiliingia kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati alipokuwa anakula daku. Akasema: “Ni baraka aliyokupeni Allaah. Hivyo msiiache.”[1]

Ameipokea an-Nasaa´iy kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/620)
  • Imechapishwa: 23/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy