07. Baadhi ya sifa za mke mwema


5 – Sifa za mke mwema

1 – Anadumu kumtii Allaah (Ta´ala) kwa kutekeleza haki Zake ikiwemo swalah, swawm, kujizuilia na machafu, kujisitiri na kuinamisha macho na nyinginezo.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad Shuwmaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifaat-uz-Zawjah as-Swaalihah, uk. 23
  • Imechapishwa: 22/09/2022