06. Mambo mawili ya kuzingatia juu ya majina ya Allaah yasiyopelekea katika sifa nyingine

Kutokana na haya ikiwa jina moja wapo la Allaah halipelekei katika sifa nyingine basi kulihakiki kwa kuliamini kunakuwa kwa mambo mawili yafuatayo:

1- Kumthibitishia jina hilo Allaah.

2- Kuthibitisha ile sifa inayopelekea kwa njia kamilifu zaidi inayolingana na Allaah (Tabaarak wa Ta´ala).

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah fiy-´Aqiydah wal-´Amal, uk. 13
  • Imechapishwa: 02/07/2019