Kumuamini Allaah maana yake ni mtu kuwa na I´tiqaad ya kukata kabisa juu ya umoja wa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) juu ya uola wa Allaah, kuabudiwa Kwake na majina na sifa Zake. Kwa haya kunamaanishwa kwamba ndani yake mna aina tatu za Tawhiyd.

1 – Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah.

2 – Tawhiyd-ul-Uluuhiyyah.

3 – Tawhiyd-ul-Asmaa´ was-Swifaat.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mujmal ´Aqiydat-is-Salaf as-Swaalih, uk. 06
  • Imechapishwa: 24/05/2022