06. Hadiyth “Nisikujuze juu ya milango ya kheri… “


983- Mu´aadh bin Jabal (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema kumwambia:

“Nisikujuze juu ya milango ya kheri?” Nikasema: “Ndio, ee Mtume wa Allaah.” Akasema: “Swawm ni ngao na swadaqah inazima madhambi kama jinsi maji yanavyozima moto.”[1]

Ameipokea at-Tirmidhiy na akaisahihisha.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/578)
  • Imechapishwa: 28/05/2018
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy