06. Hadiyth “Huenda mfungaji fungu la swawm yake ni kushinda njaa… “

1084- Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Huenda mfungaji fungu la swawm yake ni kushinda njaa na kiu. Huenda mwenye kusimama kuswali funga la swawm yake ni kukesha tu.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Kabiyr” kwa cheni ya wapokezi isiyokuwa na ubaya wowote.

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/625-626)
  • Imechapishwa: 24/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy