05. Hadiyth “Yule mwenye kujifunza elimu kwa ajili… “

110- Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) aliyeeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule mwenye kujifunza elimu kwa ajili ya kujifakharisha wanachuoni, kugombana na wapumbavu na kufanya nyuso za watu zimgeukie, basi Allaah atamwingiza Jahannam.”[1]

Ameipokea Ibn Maajah.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/155)
  • Imechapishwa: 03/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy