05. Hadiyth “Inatosha kuwa umefanya upuuzi kumwambia mwenzako… “


720- ´Abdullaah bin Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:

“Inatosha kuwa umefanya upuuzi kumwambia mwenzako aliye karibu nawe anyamaze baada ya kuwa imamu ameshafika katika ijumaa.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr” kwa mlolongo wa wapokezi Swahiyh kutoka kwa Ibn Mas´uud.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/449)
  • Imechapishwa: 14/01/2018