05. Hadiyth “Haitovuka miguu ya mja siku ya Qiyaamah mpaka… “

127- al-Bayhaqiy na wengineo wamepokea kutoka kwa Mu´aadh bin Jabal ambaye ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Haitovuka miguu ya mja siku ya Qiyaamah mpaka aulizwe juu ya mambo mane: umri wake aliuteketeza katika mambo gani, elimu yake aliifanyia nini, mali yake aliipata kivipi na akaitumia wapi na mwili wake aliutumia vipi?”[1]

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/162-163)
  • Imechapishwa: 05/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy