Allaah (Ta´ala) amesema:

أَيَّامًا مَّعْدُودَاتٍ

“… [Kufunga ni] siku za kuhesabika.”[1]

Neno أَيَّامًا ni kitendo cha pili kwa sababu ya كتب. Imesemekana vilevile kuwa ni jenitifu kwa sababu ya sentesi inayofahamika في ايَّام معدوداتٍ .

Hizi siku zenye kuhesabika ndio mwezi wa Ramadhaan. Ni siku thelathini na inaanza pale tu ambapo mwezi unapoandama.

[1] 02:184

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tafsiyr Aayaat-is-Swiyaam, uk. 11
  • Imechapishwa: 02/06/2017