Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wanapita juu ya misingi ilio imara na wazi katika ´Aqiydah, matendo na matangamano. Misingi hii mikubwa imetolewa ndani ya Qur-aan na Sunnah na yale waliokuwemo Salaf wa Ummah huu katika Maswahabah, Taabi´uun na waliowafuata kwa wema. Misingi hii imefupishwa ifuatavyo:

1 – Kumuamini Allaah

2 – Malaika Wake

3 – Vitabu Vyake

4 – Mitume Yake

5 – Siku ya Mwisho

6 – Kuamini Qadar kheri na shari yake

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Usuwl ´Aqiydah Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 16
  • Imechapishwa: 12/05/2022