03. Mambo matatu ya kuzingatia juu ya majina ya Allaah yanayopelekea katika sifa nyingine

Mfumo wao juu ya yale majina ambayo Allaah amejiita nayo ikiwa ni miongoni mwa yale majina yanayopelekea katika sifa nyingine (المتعدية), basi miongoni mwa sharti zinazohakikisha imani juu yake wanaona yafuatayo:

1- Mtu aamini jina lile ambalo Allaah (´Azza wa Jall) amejiita nalo.

2- Mtu aamini yale yenye kufahamishwa na jina hilo. Ni mamoja iwe ufahamishaji unaopelekea katika sifa nyingine au wenye kulazimiana.

3- Mtu aamini athari za jina hilo katika yale yanayofahamishwa na jina kutokamana na sifa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah fiy-´Aqiydah wal-´Amal, uk. 10
  • Imechapishwa: 21/06/2019