04. Hadiyth “Yule mwenye kuwaudhi waislamu katika njia zao… “

148- Hudhayfah bin Usayd ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule mwenye kuwaudhi waislamu katika njia zao basi imemuwajibikia laana.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr” kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Nzuri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/172)
  • Imechapishwa: 10/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy