04. Hadiyth “Swawm ni kinga ambayo anajikinga nayo mja… “

981- Jaabir amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Swawm ni kinga ambayo anajikinga nayo mja dhidi ya Moto.”[1]

Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nzuri pamoja vilevile na al-Bayhaqiy.

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/578)
  • Imechapishwa: 28/05/2018
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy