04. Hadiyth “Hii ni siku ya sikukuu/idi… “


707- Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Hii ni siku ya sikukuu/idi ambayo Allaah ameiweka kwa waislamu.  Yule atakayekuja ijumaa basi aoge. Akiwa na manukato basi ajiweke. Tumieni vilevile Siwaak.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/442)
  • Imechapishwa: 17/01/2018