04. Dalili ya tatu kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

3- Katika upokezi wa ´Ikrimah imekuja:

”Mikono yote ya Allaah ni ya kuume. Atazikunja mbingu, atazishika kwa mkono Wake na kusema: ”Mimi ndiye Mfalme!” Kisha atazishika ardhi kwa mkono Wake mwingine.”

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 16
  • Imechapishwa: 11/12/2018