04. Yaliyopendekezwa kwa mfanya I´tikaaf


2- Mapendekezo yake

I´tikaaf ni ´ibaadah ambayo mja anakaa chemba na Muumba Wake na anakata mahusiano na wengine. Imependekezwa kwa mfanya I´tikaaf ajipe faragha ya kufanya ´ibaadah; akithirishe swalah, Dhikr, kuomba du´aa, usomaji Qur-aan, kutubia, kuomba msamaha na nyenginezo zitazomkurubisha kwa Allaah (Ta´ala).

  • Mhusika: Nukhbatin minal-´Ulamaa´
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fiqh-ul-Muyassar, uk. 169
  • Imechapishwa: 04/05/2021