03. Wanawachochea vijana dhidi ya serikali ya Saudi Arabia


3- Wanawachochea vijana na rika lao dhidi ya watawala katika nchi hii. Allaah ailinde na kila ovu na chenye kuchukiza na azirudishe njama za wenye chuki kwao wenyewe ili wasifikie katika malengo yao ambayo kwayo wanafanya haraka, kuajiri na kulingania kwayo.

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 17-18
  • Imechapishwa: 25/03/2017