03. Vigawanyo vya swawm


Suala la tatu: Vigawanyo vya swawm

Swawm imegawanyika aina mbili:

1- Swawm ya lazima.

2- Swawm iliyopendekezwa.

Swalah ya lazima imegawanyika vigawanyo vitatu:

Cha kwanza: Swawm ya Ramadhaan.

Cha pili: Swawm za farara.

Cha tatu: Swawm za nadhiri.

Maneno yetu hapa yatafupizika kuhusu swawm ya Ramadhaan na kuhusu swawm iliyopendekezwa. Kuhusu vigawanyo vingine vitakuja mahala pake – Allaah (Ta´ala) akitaka.

  • Mhusika: Nukhbatin minal-´Ulamaa´
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fiqh-ul-Muyassar, uk. 150
  • Imechapishwa: 13/04/2020