03. Kinga ya tatu ya janga la corona: Kuomba kinga dhidi ya mtihani mzito

3- Kuomba kinga dhidi ya mazito ya mitihani

Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:

“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliomba ulinzi dhidi ya mazito ya mitihani, majanga yenye kufika, mipango mibaya na furaha za maadui.”

pia:

“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliomba ulinzi dhidi ya mazito ya mitihani, rindi la majanga, mipango mibaya na furaha za maadui.”[1]

[1] al-Bukhaariy.

  • Mhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Ashru Waswaayaa lil-Wiqaayah min-al-Wabaa’, uk. 7-8
  • Imechapishwa: 30/03/2020