03. Hadiyth “Yule mwenye kwenda msikitini na hakuna alichokusudia zaidi ya kujifunza… “

86- Abu Umaamah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule mwenye kwenda msikitini na hakuna alichokusudia zaidi ya kujifunza au kufunza jambo la kheri, basi analipwa ujira mfano mwenye kuhiji aliyeikamilisha hijah yake.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam  al-Kabiyr” mlolongo wa wapokezi usiyokuwa na neno[2].

[1] Nzuri na Swahiyh.

[2] Haafidhw al-´Iraaqiy amesema:

”Cheni ya wapokezi wake ni nzuri.” (2/317)

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/145)
  • Imechapishwa: 01/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy