726- Ibn Khuzaymah amepokea kupitia kwa Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd al-Khudriy kwa tamko:

“Wakome watu kuacha kwao swalah za ijumaa au Allaah atagonga muhuri juu ya nyoyo zao kisha watakuwa miongoni mwa waghafilikaji.”[1]

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/450)
  • Imechapishwa: 26/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswiyr-ud-Diyn al-Albaaniy