706- Abu Sa´iyd al-Khudriy (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Kuoga siku ya ijumaa ni wajibu kwa kila ambaye kishabaleghe[1], Siwaak na ajipake manukato kiasi na vile atavyoweza.”

[1] Kwa Muslim hakuna neno ”wajibu”. Linapatikana kwa an-Nasaa´iy (01/204).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/442)
  • Imechapishwa: 17/01/2018