1075- Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Dini haitoacha kuwa yenye kushinda muda wa kuwa watu wanaharakisha kufuturu. Kwani mayahudi na wakristo huchelewesha.”[1]

Ameipokea Abu Daawuud, Ibn Maajah, Ibn Khuzaymah na Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh” zao.  Katika upokezi wa Ibn Maajah imekuja:

“Watu hawatoacha kuwa juu ya kheri… “

[1] Nzuri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/622)
  • Imechapishwa: 24/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy