03. Hadiyth “Baraka iko katika mambo matatu… “

1065- Salmaan (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Baraka iko katika mambo matatu: mkusanyiko, uji na daku.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Kabiyr” ikiwa na wapokezi waaminifu. Ndani yumo Abu ´Abdullaah  al-Baswriy ambaye simjui ni nani.

[1] Nzuri kupitia nyenginezo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/619)
  • Imechapishwa: 23/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy