02. Wanapambana ili waweze kupindua serekali za Kiislamu ulimwenguni


02- Wanafanya bidii kubwa kabisa, kwa siri na kwa dhahiri, ili kupindua nchi za Kiislamu. Hakuna nchi yoyote ulimwenguni iliyosalimika na wao. Kipaumbele chao cha kwanza kabisa ni Saudi Arabia. Hiki ni kitendo cha vurugu kinachoitokomeza neema, kinaleta khatari na kinapingana na mfumo wa kiutume ulio na huruma na hekima.

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 18
  • Imechapishwa: 25/03/2017