02. Hadiyth “Yule mwenye kuficha elimu… “

121- ´Abdullaah bin ´Amr ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule mwenye kuficha elimu, basi siku ya Qiyaamah Allaah atampiga hatamu ya Moto.”[1]

Ameipokea Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake na al-Haakim ambaye amesema:

“Ni Swahiyh na haina doa.”

[1] Nzuri na Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/160)
  • Imechapishwa: 05/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy