1080- at-Twabaraaniy amepokea katika “as-Swaghiyr” na “al-Awsatw” kupitia kwa Anas bin Maalik ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule asiyeacha maneno ya kipuuzi na uongo, basi Allaah hana haja kwa yeye kuacha chakula na kinywaji chake.”[1]

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/624)
  • Imechapishwa: 24/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy