02. Hadiyth “Ummah wangu hautoacha kuwa juu ya mwenendo wangu… “

1074- Ameeleza tena kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Ummah wangu hautoacha kuwa juu ya mwenendo wangu muda wa kuwa kufuturu kwao hawasubiri nyota.”[1]

Ameipokea Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/621)
  • Imechapishwa: 24/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy