717- Amepokea tena kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:

“Ukizungumza siku ya ijumaa, basi umefanya upuuzi na kufutwa.”[1]

Bi maana wakati ambapo imamu yuko anakhutubu.

Ameipokea Ibn Khuzaymah katika “as-Swahiyh” yake.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/447)
  • Imechapishwa: 14/01/2018