02. Hadiyth “Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amelinganisha yule mwenye kuja katika swalah ya ijumaa… “


709- Samurah bin Jundub (Radhiy Allaahu ´anh) ameeleza:

“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amelinganisha yule mwenye kuja katika swalah ya ijumaa mapema ni kama ambaye amechinja ngamia, kisha kama ambaye amechinja ng´ombe, kisha kama ambaye amechinja kondoo mpaka alipotaja kuku.”[1]

Ameipokea Ibn Maajah kwa mlolongo wa wapokezi mzuri.

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/444)
  • Imechapishwa: 25/01/2018