01. Ni yapi masharti ya swawm?


Swali 01: Ni yapi masharti ya swawm?

Jibu: Masharti ya swawm ni mfungaji awe muislmu, mwenye jukumu juu ya matendo yake na awe ni muweza.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 18
  • Imechapishwa: 11/06/2017